Tangaza Hapa Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Mziwanda na Shilole waeleza kilichotokea mpaka wakapostiana Instagram jana

on

Wasanii wa bongofleva Shilole na Nuh Mziwanda waliwahi kuwa wapenzi lakini wakaachana na baada ya hapo Shilole alionekana kutotaka hata kusamiliana na Nuh japokua walifikia kupatanishwa.

Banda ya haya yote September 15 2016 wawili hawa wamepostiana Instagram kwa mara ya kwanza toka kuachana kwao, hapa chini ukibonyeza play utawasikia wakieleza ilivyokua mpaka wakapatana.

VIDEO: ULIIKOSA YA SHILOLE NA NUH MZIWANDA WALIVYOKUTANISHWA BILA KUJIJUA CLOUDS TV? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI..

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement