Biko Ad
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Kamanda Sirro alipoulizwa taarifa za kuuawa bondia Thomas Mashali

on

Leo October 31 2016 watanzania hasa wapenzi wa mchezo wa ngumi wameamka na taarifa za kusikitisha kuhusu kifo cha bondia Thomas Mashali ambaye inadaiwa ameuawa kwa kupigwa na watu wasiojulikana ni baada ya kuitiwa kelele za mwizi. 

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro akiwa mbele ya waandishi wa habari aliulizwa kuhusu taarifa za kifo hicho na akatoa majibu haya……….. 

>>>’Taarifa tuliyoipata ni kwamba ameuawa, sijaipata kwa uzuri nafikiri Jumatano nitaizungumzia, wanasema sijui amechomwa kisu lakini wanasema mara anapiga watu mitaani, kama anapiga watu si mngekuja kuripoti hiyo, nilikuwa nazisikia kabla lakini jumatano tutalizungumzia vizuri nasikitika sana kama kifo chake kimethibitishwa hivyo lakini mimi sijaipata rasmi kwa maandishi’

ULIKOSA HII YA PROMOTA SIRAJI KAIKE ASIMULIA KIFO CHA BONDIA THOMAS MASHALI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments