Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ndani ya siku nne makosa ya barabarani yameiingizia Serikali haya mamilioni

on

Mtu wangu kama uko Dar es salaam na umekutana na Faini kutoka Jeshi la Polisi Usama Barabarani basi taarifa hii ikufukie kutoka  Jeshi la Polisi kitengo cha kuzuia makosa ya barabarani taarifa imetolewa na Mkuu wa Operation kanda Maalum ya Dar es salaam Lukas Mkondia.

Ndani ya Siku nne tumeweza kuingiza jumla ya shilingi milioni 410 kwenye makosa ya barabarani yote haya ni makosa mbalimbali ya barabarani kuanzia October 14 mpaka October 18‘>>>Lukas Mkondia

ULIKOSA MAELEZO HAYA YA RC GAMBO YALIYOSABABISHA MBUNGE LEMA KUSIMAMA NA KUMPINGA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement