Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la mechi ya Azam FC vs Simba Septemba 17 2016, Full Time 0-1

on

Septemba 17 2016  Azam FC waliwakaribisha Simba katika dimba Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa anawania kupata ushindi ili apate nafasi ya kuongoza Ligi, hata hivyo Simba ndio walifanikiwa kuwa wababe kwa kuwafunga Azam FC kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 67.

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement