Mix

Sentensi 2 za Polisi kuhusu kifaa kilichosemekana kwamba ni bomu la mkono Dsm

on

Kifaa kilichosemakana kuwa bomu Shekilango Dar es salam, Polisi wasema ni chuma tu Jan 2 2013Polisi Kinondoni inasema ‘January 2 2014 saa tano asubuhi kulikua na taarifa kutoka kwa Mwananchi anasema kaona bomu maeneo ya Shekilango Dar es salaam ambapo Polisi na Wanajeshi wenye utaalamu wa mabomu walifika na kukichukua kitu hicho’

‘Imebainika ni kibati, chuma tu ambacho kinaweza kutumika kama toi kilichotengenezwa kwa muundo kama wa bomu wa kurusha kwa mkono, ni kibati kinachoweza kutumika kwenye matumizi mengine yoyote tu na hakikua na madhara wala hakitakua na madhara yoyote yale na wala sio bomu’

Tupia Comments