Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Video Mpya

VideoMPYA: Dada yao kina Vanessa Mdee na Mimi Mars ni Mwimbaji pia.. tazama video yake mpya “silogeki”

on

Tunawafahamu Vanessa Mdee na Mimi Mars ambao ni mtu na mdogo wake na wote wanafanya muziki wa Bongofleva, leo hii millardayo.com inamtambulisha Dada yao ambae ni mkubwa kwao ambae anafanya muziki lakini wa Gospel.

Jina lake ni Nancy Hebron na hii ni single yake ya pili inaitwa ‘Silogeki‘ huku ya kwanza ikiwa ni ‘Taa ya miguu yangu’

VIDEO: HALI ILIVYOKUA MAHAKAMANI BAADA YA LULU KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI

VIDEO: LULU KWENYE GARI LA POLISI AKIPELEKWA GEREZANI… BONYEZA PLAY KUMTAZAMA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments