Michezo

FIFA imemfungia maisha Kwesi Nyantakyi

on

Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA leo Alhamisi ya November 1 2018 zimeripotiwa taarifa za kumfungia rasmi maisha kujihusisha na soka aliyekuwa Rais wa chama cha soka Ghana Kwesi Nyantakyi.

FIFA imetangaza kufikia maamuzi hayo baada ya kujiridhisha kuwa Kwesi alitenda kosa la kupokea rushwa kinyume na taratibu za kazi yake kutoka kwa muandishi wa habari za uchunguzi.

Kwesi Nyantakyi

Kwesi amekutwa na hatia ya kuokea rushwa ya zaidi ya Tsh Milioni 149 kutoka kwa mwanahabaribari aliyekuwa anafanya habari za uchunguzi wa ufisadi na rushwa katika mchezo wa soka.

Soma na hizi

Tupia Comments