Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mwili wa Samuel Sitta ulivyoagwa Karimjee Dar es salaam

on

Leo November 11 Rais John Magufuli ameongoza viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi wa Dar es salaam kutoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Samuel Sitta Karimjee Dar es salaam. Mzee Samwel Sitta alifariki usiku wa kuamkia November 7 katika hospitali ya Technical University of Munich Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.

Baada ya kuagwa katika viwanja vya Karimjee, mwili wa Marehemu Samuel John Sitta umesafirishwa kwenda Dodoma ambako Wabunge, Viongozi wa Mkoa na wananchi watapata fursa ya kuuaga katika Viwanja vya Bunge na baadaye jioni utasafirishwa kwenda Tabora ambako maziko yatafanyika kesho Jumamosi huko Urambo.

VIDEO: HALI ILIVYO NYUMBANI KWA MZEE SITTA NA RATIBA YA MAZISHI. ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Tupia Comments

Advertisement