Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Sallam Live Instagram !! Kataja wimbo wa Alikiba anaoukubali, Harmorapa na Wasanii anaowakubali nje ya WCB

on

Meneja wa WCB Sallam SK ametumia time yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kujibu maswali ya mashabiki kwa kutumia njia mpya ya Instagram ya kuonyesha video LIVE ambapo miongoni mwa maswali yenyewe ni pamoja wimbo gani wa Alikiba anaupenda? msanii gani nje ya WCB anamkubali sana?

Sallam amesema miongoni mwa Wasanii anaowakubali nje ya WCB ni Ben Pol na wimbo wa ‘moyo mashine‘ ni moja anazozikubali sana na pia mwingine anaemkubali ni Barnaba na ngoma yake anayoikubali sana ni ‘lover boy‘.

Kujua ni wimbo gani anaukubali wa Alikiba na Wasanii wa Hiphop anaowakubali, pia ishu ya kusaini Wasanii wa Hiphop WCB…… bonyeza play kwenye hii video hapa chini.

ULIPITWA? Kitu Diamond Platnumz amefanya Vodacom Wasafi Festival Iringa kipo kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement