Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Ukiuza sukari zaidi ya Bei hii…..Arusha unakamatwa

on

Leo May 15, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro ametangaza bei ukomo ya kuuza sukari katika wilaya hiyo na atakayeuza bei zaidi ya hapo atakamatwa ameweka bei hiyo kwa kuzingatia bei ya jumla katika soko la Arusha.

“Naomba niseme sukari ndani ya Arusha hasa katikati ya mji isiuzwe 2600 maeneo ya pembezoni inaweza kufika hapo, Watendaji wa Kata na Viongozi wa dola kasimamieni hili, tukiruhusu bei izidi hapo tutakuwa tumeruhsu wananchi watapeliwa” amesema Daqarro

‘Machinga’ walivyokabidhiwa vitambulisho, marufuku waliyopigwa

Soma na hizi

Tupia Comments