Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

Maoni ya Mwigizaji kutoka Nigeria kuhusu wimbo wa Diamond Platnumz

on

Nifahari kubwa kuona Muziki wa Nyumbani unakubalika nje ya mipaka ya Tanzania, Diamond Platnumz amezikamata headlines tena baada ya mwigizaji kutoka Nigeria Chinedu Ikedieze anayefahamika kama ‘AKI’  kutoa comment kuhusiana na hit song yake mpya ‘Salome’ kwenye account yake ya Instagram kuusifia wimbo huo na haya ndiyo aliyoyaandika.

>>’Ds is Classical. I don’t understand lyrics but d correlation of d beats is BLOODY.Kudos bro! I’m a BIG fan #ChineduIkedieze#DiamondPlatnumz’

bb

ULIKOSA KUISIKILIZA MANENO YA SAIDA KAROLI KUHUSU WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ SALOME? UNAWEZA KUISIKILIZA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement