Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la Simba ilipocheza na Stand United Nov 2 2016, Full Time 0-1

on

November 2 2016 Simba walicheza mchezo dhidi ya Stand United katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, Simba wakiwa katika uwanja huo wamefanikiwa kuwa timu ya kwanza msimu huu kumfunga Stand United kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 33 kwa mkwaju wa penati.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement