Tangaza Hapa Ad

AyoTV

MAJIBU: Snura vs Madee… baada ya Madee kusema hajaona cha ajabu chura kupostiwa

on

Ishu imeanzia baada ya Producer maarufu wa Nigeria Don Jazzy kupost kwa mara ya pili kipande cha video akicheza na kuimba wimbo wa ‘chura‘ wa Snura ambapo baada ya video hiyo kusambaa na kuwekwa kwenye blogs mbalimbali Madee alisema haoni cha ajabu.

Madee aliandikahivi ni ajabu sana Don jaz kuimba nyimbo ya snura eeh.. mbona km bado tunajichukulia poa!!!mara ngap tunaimba na kucheza nyimbo zao’

Baada ya hayo Snura amehojiwa na AyoTV na kusema hajapenda Madee alivyoandika hivyo, amefanya kama kejeli flani….. unaweza kubonyeza play hapa chini kufahamu zaidi alichosema Snura.

VIDEO: Alichosema P FUNK baada ya kuona video ya mapenzi iliyosambaa mitandaoni ikisemekana ni mtoto wake, bonyeza play hapa chini kutazama alichosema P Funk

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement