Tangaza Hapa Ad

Michezo

Rekodi za mchezaji bora wa mwezi September wa EPL

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Korea Kusini anayeichezea klabu ya Tottenham Hotspurs ya England Son Heung-min ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi September wa Ligi Kuu England.

Son Heung-min ambaye ameshinda tuzo hiyo ya mchezaji bora wa mwezi, amefanikiwa kucheza mechi tatu mwezi September na kufanikiwa kuisaidia Tottenham Hotspurs kushinda mechi zote tatu akiwa kafunga magoli 4 na katoa assist moja.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement