Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Sauti Sol wanaisogeza kwako video ya ‘Kuliko jana’

on

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya linazidi kufanya vizuri kwenye industry ya burudani, safari hii wameachia Video yao mpya ya ‘kuliko jana‘ wakishirikiana na Redfourth Chorus ‘Upper Hill School’ 

Video ya KULIKO JANA imetayarishwa na Fulfillment Limited, na kufanyika Kenya na waongozaji wakiwa Tim Mwaura na Joash Omondi.  Wimbo umeandikwa na kutayarishwa na Sauti Sol na kingine ni kwamba kipande cha acapella kilipangwa na Philip Tuju na Redfourth Chorus.

ULIKOSA HII SAUTI SOL WAKIELEZA JINSI WALIVYOKUTANA NA OBAMA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement