Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Taarifa ya spika Job Ndugai kuhusu Rais Magufuli kupitisha miswada mitano

on

September 6 2016 mkutano  wa nne wa Bunge la 11  umeanza  mkoani Dodoma ambapo wabunge wa pande zote wameshiriki mkutano huo unaoendelea hivi sasa ukiongozwa na Spika wa bunge Job Ndugai ambaye alitumia nafasi hiyo kulijulisha bunge kuhusu Rais John Pombe Magufuli kuipitisha miswada mitano ya sheria iliyojadiliwa katika mkutano wa tatu wa bunge.

Lakini pia bunge limesoma muswada wa sheria ya upatikanaji wa taarifa ya mwaka 2016, mswada ambao ulisomwa na Waziri wa katiba na sheria Dk. Harisson Mwakyembe ambapo bunge limeendelea kuujadili muswada huo unaotarajiwa kumalizika kesho September 7 2016.

Video yake nimekuwekea hapa chini..

ULIMIS ALICHOKIZUNGUMZA RAIS MAGUFULI KUHUSU MAALIM SEIF KUKATAA MKONO WA RAIS SHEIN

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement