Top Stories

Jipya la RC Mwanri “Unapata mshawasha, mtekenyo anakimbia kama jogoo” (+video)

on

Leo March 14, 2019 Nakusogezea stori kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ambapo amezindua jukwaa la sitetereki likiwa na lengo la kutoa elimu ya afya na kundi rika kwa vijana na amehimiza mabadiliko kwa jamii kwa kuwalinda vijana.

“Vijana wetu inafikia mahali wanapata mshawasho lakini anajua ni kwa nini anakuwa hivyo kwenye kipindi hiki anakiita barehe pale ni mahali pakumlea na kumtunza, haiwezekani watoto wanakwenda wanavurugwa vurugwa kanatupwa kwenye mtaro” RC Mwanri

VIDEO: MUONEKANO WA MBOWE NA MATIKO BAADA YA KUSOTA MAHABUSU

 

Soma na hizi

Tupia Comments