PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

JPM akerwa na kikosi “nchi nzima kweli, Mke wangu unajua nini?” (+video)

on

Leo March 25, 2019 Rais John Magufuli amesema timu ya Taifa ilimboa wakati wa mechi dhidi ya Lesotho, ilimuuma kweli na kwamba timu haikupangwa vizuri.

President JPM amesema kwa matokeo yake aliahidi kutoita timu yoyote Ikulu, “Inauma sana kwa nchi kama Tanzania yenye watu Milioni 55 kufungwa na nchi yenye watu Milioni 1 ni lazima tujiulize ni kweli kwa nchi yenye watu Milioni 55, kupata wachezaji 15 tu wenye vipaji”

WATU WAANGUA VICHEKO IKULU, MANARA AKIMWAMBIA RAIS MAGUFULI “IPO SIKU UTAWAITA SIMBA IKULU”

Soma na hizi

Tupia Comments