Top Stories

Makamu wa Rais akutana RC Mwanri ashitushwa na mimba za utotoni na UKIMWI (+video)

on

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kasi ya ongezeko la mimba za utotoni katika Mkoa wa Tabora na amewaomba wananchi kuacha kukumbatia mila potofu.

“Takwimu zinaonyesha idadi ya wanafunzi wanaopata mimba inaongezeka wametoka watoto 21,898 mwaka 2017 na kufikia 27,390 mwaka 2018, mnafichiana Kiukoo zile mila mbaya tuzirekebishe” Makamu wa Rais

MTOTO AFICHWA MSIBA WA BABA YAKE, MKE “NDUGU WAMECHUKUA MALI”

Soma na hizi

Tupia Comments