PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Athari za tetemeko Mbeya, ghorofa limeyumba, nyumba zimeanguka, ofisi zimefungwa

on

Baada ya tetemeko la ardhi kutokea Mkoa wa Mbeya lililodumu kwa sekunde kumi na moja limeleta madhara ikiwemo jengo la ghorofa nne la Shirika la Nyumba NHC kupata nyufa na kufanya jengo hilo kutotumika kwa muda na wafanyakazi wa Taasisi ambazo zimepanga katika jengo hilo kukaa nje ya jengo, huku madhara mengine ni wananchi kubomokewa nyumba zao katika kata ya Ilemi nyumba tatu zimeboka ukuta.

LIVE: MKURUGENZI MKUU TCRA AKIZUNGUMZA MBELE YA KAMATI YA PAC

Soma na hizi

Tupia Comments