Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mambo ya kufahamu kuhusu kituo cha kisasa cha mabasi Morogoro

on

Kituo kikuu kipya na cha kisasa cha mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro kimeanza kufanya kazi takribani miezi miwili sasa. Ayo TV na millardayo.com ilifika kituoni hapo na kuzungumza na meneja mkuu wa kituo hicho, Stanley Mhapa kuhusu mambo mbalimbali kwenye kituo hicho cha mabasi………

‘Hapa stand tuna kituo cha polisi pia Msamvu Property ina askari wake ambao imewachukuwa kutoka halmashauri na wanavaa uniform kwa ajili ya kuzungukia matatizo yote yaliyomo ndani kwa hiyo tunaweza kusema abiria wako salama’;-Stanley Mhapa 

‘Watu wa Bodaboda, tax, bajaji, tumewasajili na wanaenda kwa mpangilio kila huduma ina sehemu yake hata kuingia ndani ya stand wanaingia kwa mpangilio mfano bajaji hawawezi wakazidi watu watatu wanaoingia kuangalia abiria ili kupunguza bugudha kwa abiria’;-Stanley Mhapa

VIDEO: Kilichowapata abiria wa Kilimanjaro na Arusha Ubungo DSM, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement