Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mastaa 6 waliosema wataondoka Marekani kama Trump atashinda Urais

on

Ahadi nyingi zilitolewa wakati wa kampeni za uchaguzi wa Marekani ambapo sio tu kutoka kwa Wagombea bali hata mastaa wakubwa waliokuwa upande Hillary Clinton, wengi waliahidi kuondoka Marekani na kuhamia mataifa mengine iwapo Donald Trump atashinda.

Tayari matokeo yametangazwa jana November 9, 2016 na kuonyesha kuwa Donald Trump ndiye mshindi na Rais mteule wa Marekani ambaye ataapishwa kuwa Rais kamili wa taifa hilo January 20, 2017.

Mastaa watano walioandika watahama nchi ni hawa hapa kwenye hii orodha akiwemo mwimbaji Miley Cyrus yeye alisema “I am moving if he is president. I don’t say things I don’t mean!” ‘Nitaondoka kama Trump atakuwa Rais, huwa siongei vitu ambavyo simaanishi.’ 

miley

Miley Cyrus

ne-yo

Mwimbaji staa wa RnB Ne-Yo alisema, “Like so many others, plans to bug out to nearby Canada” Kama wengine wengi, nina mpango wa kuhamia karibu na Canada

samuu

Mwigizaji Samuel Jackson alisema “If that motherf***er becomes president, I’m moving my black a** to South Africa, Kama Trump atashinda uraisi nitahamia Afrika Kusini

amy

Mwigizaji mchekeshaji Amy Schumer alisema “I will need to learn to speak Spanish, because I will move to Spain or somewhere.” Itabidi tu nijifunze kuongea kihispania kwa sababu nitahamia Hispania ama sehemu nyingine.

 

 

lemmi

Mwigizaji Lena Dunham alisema “I know a lot of people have been threatening to do this, but I really will. I know a lovely place in Vancouver.” ‘najua watu wengi wametishia kufanya hivi lakini mimi nitafanya kweli, naifahamu sehemu moja nzuri huko Vancouver (CANADA)’

 

Rapper mkongwe Snoop Dogg nae aliweka wazi utayari wake wa kuhamia CANADA

Rapper mkongwe Snoop Dogg nae aliweka wazi utayari wake wa kuhamia CANADA na hata alipost picha ya mnara wa Canada kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini alivyomtag Drake ambae ni mzaliwa wa Canada.

screen-shot-2016-11-11-at-1-02-35-am

Baada ya mastaa hao kuyaongea hayo, raia wa Marekani wanasubiri kuwaona watafanya kweli baada ya Trump kuchaguliwa kuwa raisi wa 45 wa Marekani.

VIDEO: Uliikosa hii? Pesa aliyolipwa Diamond Platnumz baada ya video yake kuchezwa kwenye TV Marekani? bonyeza play hapa chini

VIDEO: Uliikosa hii? Tazama Mtanzania Mayunga alipofika nyumbani kwa Akon Marekani, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement