Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Stamina amewazungumzia wasanii waliomkatalia collabo kabla hajatoka

on

Moja kati ya Rapper wanaofanya vizuri kwenye game ya Bongfleva uwezi kuacha kumtaja Rapper Stamina ambaye kwa sasa anazichukua headlines kwenye vituo mbalimbali vya Radio na hitsingle yake ya ‘Mmeniroga‘, Stamina amekutana na Ayo TV nakuwazungumzia wasanii waliowahi kumkatalia collabo kabla hajatoka kwenye game ya Bongofleva.

Unajua mimi nilishawahai kuimba usemi unaosema maisha ni kama gwaride wa mwisho anaweza akawa wa kwanza, wako wasanii kama watano waliowahi kunikatalia collabo kabla siajwa Stamina lakini pia namshukuru Rapper Godzilla na Izzo Busness kwa sababu wao ndio wasani waliowahi kuniamini na kufanya collabo na mimi nikiwa bado msanii mchanga‘>>>Stamina

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA ON AIR WITH MILLARD AYO YCEE AMEMTAJA MSANII WA BONGO ANAYEMKUBALI? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement