Habari za Mastaa

MSIBA WA MZEE MAJUTO: Steve Nyerere asema ‘Nimetukanwa sana, hapa mimi sihusiki’

on

Steve Nyerere amekua miongoni mwa Mastaa wa Tanzania wanaotajwa kujitoa sana kwenye shughuli za watu wengine iwe shida au raha, na leo hii video inamuonyesha akiwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kufika Muhimbili Hospitali baada ya kupokea taarifa za kifo cha Mzee Majuto.

Steve amekua akitukanwa na baadhi ya watu kutokana na kuonekana mara nyingi kuwa mstari wa mbele kwenye shughuli mbalimbali, tazama alichosema Steve Nyerere Muhimbili leo.

VIDEO YA STEVE NYERERE MSIBANI KWA MZEE MAJUTO…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI

BREAKING: KINACHOENDELEA MUHIMBILI KIFO CHA MZEE MAJUTO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments