Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 20: DC wa Kinondoni Ally Hapi alivyotembelea Mtongani, Kunduchi leo

on

Leo July 29, 2017 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ametembelea Mtongani Kunduchi ambako amekutana na wananchi wa huko na kuwahakikishia kuwa hawatahamishwa wala kubomolea nyumba zao kama ilivyoelezwa awali.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement