Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Maneno 7 ya Mbwana Samatta kuhusu Erasto Nyoni

on

Mwanasoka staa wa Tanzania anaecheza soka la kulipwa huko Ubelgiji Mbwana Samatta ameonekana kumkubali Erasto Nyoni wa Simba baada ya kuifungia timu hiyo goli la pekee na la ushindi kwenye mechi Jumapili iliyopita vs Yanga.

Maneno ya Mbwana Samatta yameashiria kumkubali Nyoni na hata kuona kwamba umri sio kitu, bonyeza play hapa chini kupata yote.

VIDEO: MRISHO NGASSA KUHUSU YONDANI KUMTEMEA MATE KWASI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments