AyoTV

VIDEO: Q Boy kuhusu Dancer wa Justin Bieber kuucheza wimbo wake

on

Ni Q Boy Msafi ambae alianza kuzimiliki headlines baada ya kutoa hit single ‘Mugacherere’ aliyomshirikisha Shetta na Rayvanny, sasa staa huyo alirudi  tena kwenye vichwa vya habari ikiwemo ya kuondoka kwenye label ya WCB pamoja na Dancer wa Justin Bieber kupost kazi yake mpya ‘Karorero’.

Sasa leo amekaa na millardayo.com & Ayo TV  na kuyaongea haya…….>>Watu wanasema mimi niliondoka WCB baada ya kutumia gari la Zari hapana hizo habari si za kweli, mara ngapi mimi natumia gari naliacha boda labda nikienda nchi za kigeni kwani kipindi nilipokuwa WCB kuna wakati pia nilikuwa namuendesha Diamond Platnumz’- Q Boy Msafi

‘Nilishangaa kuona Dancer wa Justin Bieber kupost wimbo wangu mpya kwanza sikuamini mpaka kumuuliza maswali mawili matatu ndio nikaja kupata jibu baada ya yeye kunionesha baadhi ya video alizokuwa akishiriki katika events za Justin BieberQ Boy Msafi

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Q Boys Msafi akizungumzia pia kuhusu Dancer wa Justin Bieber kuucheza wimbo wake Karorero

ULIIKOSA KUIONA VIDEO MPYA YA Q BOY MSAFI KARORERO BASI ITAZAME HAPA

ULIIKOSA HII YA MAN FONGO KUHUSU TOFAUTI ZAKE NA MESEN SELEKTA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments