AyoTV

Yanga watangaza kutumia muziki wa Yanga B vs Azam FC

on

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 1-0 dhidi ya KVZ katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2019, mashabiki na baadhi ya watu walitaka kufahamu Yanga itachezesha kikosi gani katika mchezo wao wa pili dhidi ya Azam FC wataongeza wachezaji wa kikosi cha kwanza kutoka Dar es Salaam.

Game ilivyomalizika Ayo TV iliongea na meneja wa timu ya YangaNadir Haroub na kumuuliza kuwa watafanya mabadili na jibu kusema kuwa watatumia mziki ulele kwa maana ya kikosi kile kile kupambana dhidi ya Azam FC siku ya Jumamosi ya January 5 2019.

“Game ilikuwa nzuri na KVZ walicheza vizuri kipindi cha kwanza lakini cha pili tumebadilika kwa sababu tulipata nafasi kipindi cha kwanza hatujazitumia, Azam nawaheshimu kwa sababu ni timu ambayo nakutana nayo kwenye Ligi ila tu kwa sisi hikimndio kikosi kitakachocheza na Azam”>>> Nadir Haroub

Kocha wa Simba baada ya kuwasili Zanzibar”Sio njia bora ya kuandaa timu”

Soma na hizi

Tupia Comments