PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Michezo

Matokeo ya game zote za UEFA Champions League October 2 2018

on

Michuano ya UEFA Champions League hatua ya makundi imeendelea tena usiku wa October 2 2018 barani Ulaya, kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja mbamlimbali.

Hii ni michezo ya pili ya hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019, wakati unasubiri game za October 3 2018 naomba nikusogezee matokeo ya game za October 2 2018 kama hukupata nafasi ya kuangalia game hizo.

“Simba tumewaachia, sisi hatuna presha”-Kocha wa Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments