Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 18: Diamond na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

on

Ni Dec 23, 2016 ambapo mkali Diamond Platnumz pamoja na Team yake nzima ya WCB walifika Mlimani City Mall kuziuza tiketi kwaajili ya show yao iitwayo Wasafi Beach Party itakayofanyika Dec 24,  2016 Jangwani Sea Breezy Dar es Salaam.

Diamond Platnumz alikuwa akiuza tiketi za VIP shilingi 100, 000/= huku Rayvanny akiuza tiketi za kawaida kwa shilingi 30,000/= na hizi ni baadhi ya picha kutoka Mlimani City Mall.

.

.Rayvanny akimuuzia tiketi shabiki alifika Mlimani City Mall

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam

.

.Team nzima ya XXL  ya Clouds FM

.

.

.

.Harmonize

.

.Rich Mavoko

.

.Rayvanny

.

.(Kulia) Diamond Platnumz akiwa na Dj R J

.

.Queen Darling

ULIIKOSA HII YA RIDHIWANI KIKWETE KUHUSU NYIMBO 4 ZA WASANII ZINAZOFAA KUITWA BORA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement