Habari za Mastaa

Furaha hii yatawala familia ya Timaya

on

Staa maarufu kutokea Nigeria Timaya ambaye anatamba na ngoma ya Ah blem blem amebahatika kuongeza mtoto wa kiume kwenye familia yake ambayo tayari ilikuwa na watoto wawili wa kike, furaha hiyo ilimjia Jumapili ya July 1,2018.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Timaya amepost picha ya mguu wa mtoto wake wa kiume ambaye tayari ameshapewa jina la Emmanuel na kuandika caption inayosema “Emmanuel, asante Mungu”

“Kila Mtanzania kumiliki nyumba yake’ -Shirika la nyumba la taifa NHC

 

Soma na hizi

Tupia Comments