Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Yalitangazwa mashindano ya vipaji vya muziki, hawa watoto wakajitokeza

on

Screen Shot 2014-01-19 at 11.32.16 PMKatika baadhi ya familia watoto wamekua na nafasi ndogo sana ya kusikilizwa na kupewa nafasi ya kufanya kile wanachopenda au kutaka kukifanya kwenye maisha yao.

Post hii ni maalum kwa ajili ya kukutanisha na video mbalimbali zikionyesha watoto waliopewa nafasi kwenye mashindano mbalimbali kuonyesha vipaji vyao, yani vile vitu wanavyoweza kuvifanya.

Baada ya kuwatazama unaweza kushea maoni yako hapa chini kwenye comment kwa kuniambia ni video namba ngapi imekugusa zaidi mtu wangu.

.

.

.

.

.

.

.

Tupia Comments

Advertisement