Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mwili wa Samwel Sitta ulivyopokelewa nyumbani Tabora

on

Mwili wa spika wa zamani kwenye bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samuel Sitta umewasili nyumbani Tabora kwa ajili ya maziko yanayotarajiwa kufanyika November 12 2016, hii video hapa chini imeonyesha kila kitu kuanzia uwanja wa ndege.

VIDEO: Zitto Kabwe aliposimama kuuaga mwili wa Samwel Sitta tazama hapa chini kwenye hii video

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement