Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Picha za utoto za Alex Sanchez, Rooney na Daniel Sturridge

on

Alhamisi ya October 6 2016 kabla ya siku haijaisha mtu wangu naomba nikusogezee TBT picha za mastaa wa soka, leo naomba nikusogezee picha za utoto za staa wa Man United Wayne Rooney, staa kutokea klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Chile Alex Sanchez pamoja na mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge.

Najua umezoea kuwaona wakiwa katika muonekano wao wa ukubwa na wakiwa mastaa, lakini kama unatamani kuwaona katika muonekano wao wa utoto nimezinasa mtandaoni picha zao.

download

Wayne Rooney

rooney1

Wayne Rooney enzi zake za utoto

daniel-sturridge-danny-liverpool-manchester-united-premier-league_3001952

Daniel Sturridge

sturridge1

Daniel Sturridge enzi zake za utoto

sturridge

Daniel Sturridge wa pili kushoto kwa waliosimama

alexis-sanchez-551566

Alex Sanchez

sanchez-2

Alex Sanchez enzi zake za utoto

sanchez-3

Alex Sanchez enzi zake za utoto

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement