Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

TBT: Picha za wasanii VeeMoney, IdrissSultan, Rayvanny na wengine…

on

Neno tbt (Throw back thursday) limejipatia umaarufu kupitia mtandao wa Instagram ambapo watu hutumia siku ya alhamis kuposti matukio yaliyojiri kipindi cha nyuma. Leo nimekusogezea picha za baadhi ya mastaa wa bongo walizopiga miaka iliyopita, akiwemo Vanessa Mdee, Idriss Sultan, Rayvanny, Damian Soul na Rammy Galis.

img-20160929-wa0031

Vanessa Mdee

img-20160929-wa0032

Idriss Sultan 2007

barnaba

Barnaba na mama mtoto wake ( Mama Steve)

img-20160929-wa0036

Rammy Galis akiwa na miaka 3

img-20160929-wa0025

Raymond (Rayvanny) kwenye tamasha la Fiesta aliposhinda kama Super nyota 2011

img-20160929-wa0028

Damian Soul akiwa Bungu Sekondari Korogwe Tanga 2003

KAMA ULIPITWA NA UFAFANUZI WA VANESSA MDEE KUHUSIANA NA UHUSIANO WAKE NA TREY SONGS>>

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement