Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Picha za utotoni za Obama, Trump, Michele na Hillary Clinton

on

Imekuwa ni kazi yangu kila Alhamisi kukumbushana picha za zamani za watu maarufu “TBT”, leo Nov 17 2016 nakusogezea TBT za Rais  wa Marekani anayemaliza muda wake Barack Obama na mkewe Michelle Obama, rais mteule wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi mkuu nchi humo  Hillary na mume wake ambaye nae ni Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton.

Nakusogezea picha hizo hapa chini uweze kuzitazama.

hill-bill-wedding

Hillary Clinton siku ya harusi na mme wake Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton

maxresdefault

maxresdefault-1

Hillary Clinton

michele

Michele Obama mke wa Rais wa Marekani anayetarajiwa kuustaafu Jan 2017, Barack Obama

obm

Baracka Obama

gallery-1471386881-donald-trump-life

Donald Trump

donald-trump-business-indisder

Donald Trump, Rais Mteule wa Marekani

VIDEO: Ulimiss hii ya Maneno ya Mbunge Kangi Lugola baada ya ushindi wa Trump, unaweza kuitazama nimekuwekea hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement