Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VideoFUPI: TID akiingia kituo cha Police Central Dsm kutii wito wa Makonda


Mwimbaji staa wa bongofleva TID amewasili  kituo cha polisi cha kati Dar es salaam kuitikia wito wa RC, Paul Makonda wa kumtaka kufika kituoni hapo baada ya kutajwa kwenye orodha ya jana ya watu maarufu wanaotuhumiwa kutumia dawa za kulevya.

FULL VIDEO: Paul Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya Dar es salaam, Watu maarufu na Askari Polisi 9.

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement