Tangaza Hapa Ad

CCM Mtwara, wawili kuchukua nafasi za uongozi leo


Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mtwara leo December 4, 2017 kinafanya Mkutano Mkuu wa Chama hicho ambao umeambatana na Uchaguzi wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho.

Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari St Thomas ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gilasius Byakanwa ambaye aliwataka wajumbe na viongozi watakaochaguliwa kuhakikisha wanaondoa makundi ndani ya chama ili kwenda na kasi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Rais John Magufuli.

Awali, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara Mohamed Said Sinani ambaye amejiuzulu rasmi nafasi hiyo pamoja na Kamati ya Siasa Mkoa amesema ataendelea kuwa mwanachama na atatoa ushirikiano.

Ulipitwa na hii? STEVE NYERERE: “Polepole wewe nani? CCM hujaiunda wewe”

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement