Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Hali ya waathirika wa tetemeko Bukoba

on

Tetemeko la ardhi lilitokea kanda ya ziwa ambapo madhara makubwa yamekuwa katika mkoa wa Kagera kusababisha vifo 16 na kuacha majeruhi zaidi ya 253 na wengine kubaki bila makazi.

Kwenye Video hii mtangazaji wa Clouds TV Ceaser Redemptius amezungumza na waathirika wa tetemeko Kagera kujua hali ilivyo kwa sasa ambapo kwa sasa wanalala nje baada ya nyumba zao kubomoka kutokana na tetemeko la ardhi.

Kingine kwenye video hii Ceaser Redemptius, amefika kwenye familia ambayo imekumbwa na msiba wa mpendwa wao ambaye alifariki kutokana na Tetemeko la ardhi. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

ULIKOSA SHUHUDA ALIVYOSIMULIA MAMA ALIYEKUFA KWENYE TETEMEKO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement