Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AUDIO Mpya: Baada ya Pana… Hii ni mpya nyingine kutoka kwa Tekno Milles

on

Kama nilivyokuahidi kuhakikisha haupitwi na kitu chochote kizuri mtu wangu, nakusogezea hii nyingine. Wakati number one hit single Pana kutoka msanii Tekno Milles wa Nigeria ikiendelea kufanya vizuri kwenye chart mbalimbali za muziki, Star huyu ameamua kutowapa pumzi mashabiki wake baada ya kuachia single mpya iliyotayarishwa na maproducer wawili.

Mzigo unaitwa Diana umefanywa kwenye studio za Made Men Music Group chini ya Producer Selebobo na Producer aliyeitayarisha hit single ya Pana, KrizBeatz.

Isikilize hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement