PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Kauli ya Prof Tibaijuka kuhusu Diwani CHADEMA aliyedaiwa kutekwa (+Video)

on

Kufuatia taarifa za mgombea udiwani kupitia CHADEMA katika kata ya Buhangaza wilaya Muleba mkoani Kagera Nelson Makoti kupotea kwa siku tatu tangu February 2, 2018  na kisha kupatikana. Leo February 5, 2018 Chama cha mnapinduzi kupitia kwa msimamizi wa kampeni ambaye pia ni Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka amezungumza na Waandishi wa Habari baada ya kusikia taarifa hizo zikikihusisha chama chake.

Mlemavu wa macho aliyebuni nguo za Viongozi nchini

Soma na hizi

Tupia Comments