Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 4: Kutoka katika harusi ya staa wa zamani wa Man United Carlos Tevez

on

Wakati mashabiki wa soka duniani wanaomfuatilia staa wa zamani wa Man United na Juventus Carlos Tevez wakishuhudia staa huyo akikubali kujiunga na Shanghai SIPG ya China ambako atakuwa akilipwa mshahara wa pound 615,000, taarifa ikufikie kuwa staa huyo ameamua kufunga ndoa.

3b94839000000578-4059368-image-a-2_1482438225289

Tevez amefunga ndoa mchana wa Alhamisi ya December 22 2016 na mpenzi wake wa muda mrefu Vanesa Mansilla wakiwa San Isidro, Tevez mwenye miaka 32 amefunga ndoa na mpenzi wake Vanesa ambaye amekuwa nae toka enzi za utoto.

3b943d6100000578-4059368-image-a-2_1482429178229

3b943d4800000578-4059368-image-a-1_1482429169292

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement