Tangaza Hapa Ad

Michezo

AUDIO: TFF imetangaza kusitisha matumizi ya uwanja wa Uhuru kwa wiki tatu

on

Siku moja imepita toka waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo waziri Nape Moses Nnauye aweke wazi kuwa Simba na vilabu vingine vinavyolalamikia uwanja wa Uhuru kuwa sio salama kwa afya za wachezaji, na kuomba kutumia Taifa kuwa waiombe bodi ya Ligi kwani ndio wanaopanga michezo ichezwe uwanja gani.

Leo Septemba 21 2016 afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Alfred Lucas ameweka wazi maamuzi ya TFF

“Baada ya malalamiko ya vilabu vya Dar es Salaam kuhusu kuutumia uwanja wa Uhuru, TFF inaufunga uwanja huo na mechi kuzihamishia Taifa kutokana na  kugundua kuwa plastic zilizopo katika pitch ya Uhuru zimekauka hivyo zinawaumiza wachezaji, ukarabati tunategemea uchukue wiki mbili hadi tatu”

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement