Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Jinsi Musukuma alivyofunga kampeni za kumnadi mgombea Ubunge Songea.

on

Jana January 12, 2018 ilikuwa ndio siku ya mwisho ya kufanya kampeni katika majimbo mbalimbali nchini kwa ajili ya uchaguzi wa marudio.

Joseph Musukuma ambaye ni Mbunge wa Geita Vijijini amefanya mkutano wa kufunga kampeni hizo katika Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma kumnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Songea Dr. Damas Ndumbaro.

“Ni marufuku shule kukaririsha, kuhamisha au kufukuza wanafunzi wanaofeli” – Wizara ya Elimu

Waandishi waitisha mgomo usio na kikomo baada ya mwandishi mwenzao kutekwa

Soma na hizi

Tupia Comments