Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mwimbaji Khadjanito kafunga ndoa Oct 29, 2016…..

on

Ni mwimbaji wa hit single ya ‘maumivu niache‘ ambayo kwa uzito ilimfanya Watanzania wamfahamu, October 29 2016 amefunga ndoa Dar es salaam na mchumba wake ambaye ni raia wa Congo DRC kwenye kanisa la Ufunuo wa bendera.

Khadja ambaye amebadili dini na kuwa Mkristo ili kumfata mume wake, amefunga ndoa siku tatu baada ya kukiri kupitia mahojiano na millardayo.com kwamba uamuzi wake wa kubadili dini umewakasirisha Marafiki na ndugu lakini anahitaji wamuombee kheri na wasimlaumu.

Itazame hii video hapa ujionee jinsi ilivyokuwa Kanisani

ULIIKOSA HII YA MWIGIZAJI AUNT EZEKIEL ALIVYOFANYA PRIVATE BIRTHDA PARTY BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement