Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 10: Maandalizi ya jukwaa la usiku wa Vodacom Wasafi Festival Iringa….

on

Ni Dec 25, 2016 ambapo wakazi wa Iringa wataiandika historia ya burudani baada ya kupata burudani kali kutoka kwa  Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Chege  pamoja na msanii kutoka Nigeria Kcee.

Burudani hiyo itadondoshwa katika viwanja vya Samora Stadium na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye maandalizi ya jukwaa.

 

.

.

.

.

0f8a7537

.

0f8a7542

.

.

.

0f8a7551

.

0f8a7495

.

0f8a7500

 

0f8a7513

.

0f8a7508

.

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement