Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Helikopta yamsindikiza Chris Brown alivyowasili Mombasa Kenya.

on

Mwimbaji staa kutoka Marekani Chris Brown amewasili Mombasa Kenya kwa ajili ya kutumbuiza leo October 8, 2016 kwenye tamasha lililopewa jina la Mombasa Rocks Festival ambapo jukwaani atasindikizwa na wakali akiwemo Alikiba, Vanessa Mdee, Navio na wengineo.

Chris Brown amekuja na ndege binafsi kutokea Marekani ambapo baada ya kufika Kenya, AyoTV na millardayo.com zilimnasa msafara wake akiwa anaingia Hotelini Mombasa na juu akipewa support na Helikopta ambayo imeripotiwa kwamba ilichukuliwa maalum kwa ajili ya kuhakikisha usalama wake, tazama kwenye hii video hapa chini

ULIIKOSA HII YA MAANDALIZI YA JUKWAA LA CHRIS BROWN ATALOTUMBUIZA NA WAKINA ALIKIBA, VANESSA MDEE, NAVIO NA WENGINEO  BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement