Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

on

October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ndio ulichezwa na kumaliza tambo za mashabiki wa pande zote mbili, mchezo huo ulichezwa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, goli la Yanga likifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 26 na goli la Simba likifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 86.

GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement