Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: “Mnyama nimeamua, inabidi uwe mnyama kama Makonda” – T.I.D

on

Mwimbaji wa bongofleva T.I.D ni miongoni mwa waliokamatwa na kushikiliwa na Polisi kwa dawa za kulevya na mpaka kufikishwa Mahakamani, leo February 13 2017 T.I.D alizungumza LIVE kwenye TV baada ya kualikwa kwenye jukwaa alilosimama Mkuu wa mkoa Paul Makonda kuzungumzia awamu ya tatu.

VIDEO: Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya na agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje kwa dawa za kulevya

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement