Airtel TZ
Ads Separator
Tecno TZ - C8
Ads Separator
GAPCO Win
Ads Separator
Tangaza Hapa
Ads Separator

Entertainment

Hongera kwa Tiwa Savage, good news kwa familia yao kumpokea mgeni huyu…

on

ITS A BOY

Familia ya Staa wa Nigeria Tiwa Savage kutoka kundi la Mavin jana ilikua na furaha kubwa baada ya kupokea ugeni katika nyumba yao.

Tiwa Savage na mumewe Teebillz ambao walifunga ndoa mwaka 2013, wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume jana July 23 katika hospitali ya St. Marys, london Uingereza.

Teebillz alidhihirisha  furaha yake kwa marafiki zake kwenye mitandao ya kijamii huku akiweka picha iliyoonyesha mikono ya mtoto wao huyo.

Thank You Jesus….

A photo posted by Mr Billz (@teebillz323) on

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Dr Mwaka - Foreplan Clinic

Recommended for you

You must be logged in to post a comment Login